Home » » MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO YA KOMPYUTA CHA KANISA LA ANGLIKANI PARISHI YA MAGUGU MKOA WA MANYARA

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO YA KOMPYUTA CHA KANISA LA ANGLIKANI PARISHI YA MAGUGU MKOA WA MANYARA



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akifungua kituo cha kompyuta cha kanisa Anglikani Parishi ya Magugu (Mkoa wa Manyara) Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro jana.
Mwanafunzi Idrisa Hassan akimuonesha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi, viongozi na waumini wa kanisa Anglikani Magugu namna ya kutumia kompyuta wakati wa ufunguzi wa kituo cha kutolea elimu ya Komputa cha kanisa Anglikani Magugu, hafla ya ufunguzi ilifanyika kanisani hapo mapema jana.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanajifunza elimu ya komputa kwenye kituo cha kutolea elimu ya komputa cha kanisa Anglikana Magugu kilichofunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi mapema jana .
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na Baadhi ya wanafunzi na Waumini wa Kanisa hiyo mara baada ya ufunguzi kituo cha kompyuta cha kanisa Anglikani Parishi ya Magugu (Mkoa wa Manyara) Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro jana.
Katibu wa kanisa Anglikani parishi ya Magugu Bw.Dismas Charles akisoma taarifa fupi ya kituo cha kompyuta kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimb, uongozi wa kanisa na waumini wakati wa hafla ya kukifungua kituo hiko.
Picha ya pamoja.
Picha na Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa