Home » » Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

0 comments:

Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa