Home »
» MATUKIO YA BARAZA LA UVCCM MKOA WA MANYARA.
MATUKIO YA BARAZA LA UVCCM MKOA WA MANYARA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha,
Robinson Laban Meitinyiku (katikati) ambaye alikuwa mgeni rasmi wa
Baraza la UVCCM mkoani Manyara, akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa
Manyara, Regina Ndege na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro
Fredrick Mushi wakifuatilia kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)
Mkoa wa Manyara, wakifuatilia kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.
Mjumbe
wa Kamati ya Uchumi na Miradi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
(UVCCM) Mkoa wa Manyara, Peter Msaki akizungumza jana kwenye kikao cha
Baraza la UVCCM la Mkoa huo lililofanyika mjini Babati.
Mjumbe
wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa
Manyara, kutoka wilayani Simanjiro Mosses Method Komba akizungumza
kwenye kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.
Katibu
wa Uhamasishaji wa UVCCM na Chipukizi wa Mkoa wa Manyara, Sumleck Ole
Sendeka akizungumza kwenye Baraza la UVCCM la Mkoa huo lililofanyika
0 comments:
Post a Comment