Home » » Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aongoza Mamia Kumzika Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni James Yamungu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aongoza Mamia Kumzika Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni James Yamungu



 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi laaliyekuwa Mkuu
wa Wilaya ya Serengeti Kapteni James Yamungy katika mazishi
yaliyofanyika Kibaha Agust 24, 2012.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiweka shada la
maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni 
Jame Yamungu katika mazishi yaliyofanyika Kibaha Agust 24, 2012.

 Mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Marehemu Kapeni James
yamungu ukiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika Kibaha Agust 24,
2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole, Betty Yamungu, mjane  wa
aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kapteni James Yamungu katika
mazishi ya liyofanyika Kibaha Agust 24, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa