Home » » Wananchi wa Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Nao Watoa Maoni Yao Kuhusu Katiba Mpya

Wananchi wa Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Nao Watoa Maoni Yao Kuhusu Katiba Mpya

 Bw.
Godson Luya, mkazi wa kata ya Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara
akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba katika kata hiyo hivi karibuni.

Wakazi
wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakifuatilia mkutano wa kukusanya
maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko 
ya Katiba wilayani hapo hivi karibuni.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa