Mjumbe wa Baraza la Katiba la Hamshauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Mchungaji Wilson Ihucha akitoa Maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo l
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara Bw. Yahya Ramadhani (kulia), akisoma nakala ya Rasimu ya Katiba Mpya ilitolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano uliotishwa na Tume katika Halmashauri hiyo
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Yahya Msulwa (aliyesimama)
akizungumza na Wajumbe a Baraza la Katiba la Wilaya la Halmashauri ya
Mji wa Babati Mkoani Manyara wakati wa kufunga mkutano wa Baraza hilo
jana Jumatatu (Julai 29, 2013). Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya
Babati Mjini, Bi. Christina Mndeme (kushoto).
Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Hamshauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Bi.
Zainab Zubery akitoa Maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa
na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika
ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Bw. Bakari Mbaga akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Green Bird Wilayani humo
0 comments:
Post a Comment