Home
skip to main
|
skip to sidebar
Home
» » WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA ENEO LA MAAFA MAUAJI YA WAKULIMA KITETO
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA ENEO LA MAAFA MAUAJI YA WAKULIMA KITETO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanakijiji wa Mtanzania Januari 16, 2013 wakati alipokwenda kuwapa pole kufuatia uvamizi waliofanyiwa na watu wanaosadikiwa kuwa wafugaji ambao waliua watu watatu na kuchoma nyumba . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji.
Baadhi ya wananchi wa Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili wilayani humo Januari 16, 2014 kufuatilia suala la mauaji ya wakulima.
Eneo la Mtanzania wilayani Kiteto ambalo ni moja kati ya maeneo ya makazi yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji ambapo watu watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Januari 16, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wazee wa Kiteto wakati alipoteta nao baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kibaya Janauari 16, 2014. Alikwenda Kiteto kuwapa pole wakulima ambao walishambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji ambao waliua na kuchoma moto nyumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Web Toolbar by Wibiya
Please Share this Blog
Popular Posts
VITUKO VYA NGIRI NA SIMBA WA MANYARA
TUSOME MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 12, 2024. KUTOKA MKOA WA MANYARA
MAAFISA HABARI,MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Lango Kuu la Ku...
KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED YADHAMINI TIMU YA FOUNTAIN GATE
Na Ferdinand Shayo ,Manyara Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imed...
TUSOME MAGAZETI YA LEO MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBA 24,2024 KUTOKA MKOA WA MANYARA
MBUNGE HHAYUMA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI BASSOTUGHANG
Na Mwandishi wetu, Hanang' MBUNGE wa Jimbo la Hanang' Mkoani Manyara, mhandisi Samwel Hhayuma Xaday ameweka jiwe la msingi la mradi...
HALI YA UHARIBIFU WA MISITU HANANG,MKOANI MANYARA INAKUWA KWA KASI KUBWA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Katibu wa CCM W...
BARABARA YA LAMI YA KIA-MIRERANI KUWA KWENYE MATAZAMIO KWA MWAKA MMOJA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. ...
TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON ILIYOPO MTO WA MBU MKOANI MANYARA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Mwenyekiti wa ...
HALMASHAURI HANANG YAKABIDHI HUNDI YA MIL.20 KWA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. ...
Powered by
Blogger
.
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012.
Manyara Yetu
- All Rights Reserved
Designed by
Fredy Tony Njeje
Proudly powered by
Blogs za mikoa
0 comments:
Post a Comment