Home » » UZINDUZI WA KAMPENI YA VIRUTUBISHI CHAKULA

UZINDUZI WA KAMPENI YA VIRUTUBISHI CHAKULA


 Wanafunzi wakigawiwa vipeperushi vyenye maelezo ya virutubishi kutoka kwa waendesha kampeni wa mradi wa Usaid Tuboreshe Chakula katika kampeni inayoendelea wilayani Manyara
 Wanafunzi wa shule wakipata burudani ya  mafunzo ya lishe kutoka waelimishaji kutoka mradi wa Tuboreshe Chakula unaoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe Chakula wilayani Babati
 Afisa utawala wa Wilaya ya Babati Bwana Mshamu akiongea na wadau kutoka sekta mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza virutubishi kwenye chakula inayoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe Chakula
 Mwelimishaji  wa masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Sara Luzangi, akiongea na wanafunzi wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara, juu ya umuhimu wa matumizi ya vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini
Mkuu wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ,akifungua kampeni ya kuongeza virutubishi kwenye chakula inayoendeshwa na mradi wa tuboreshe chakula unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Marekani(USAID)  kulia kwakeni Katibu Tawala wa wilayaya Babati Bwana Bwana Mshamu na kushoto ni mganga mkuu wa wilaya hiyo Antipasi Swai.Uzinduzi umefanyika  leo katika ukumbi wa hotel ya White Rose mjini BABATI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa