Home » » MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA MANYARA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA MANYARA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
NEEMA URASSA KIVUGO (48) (Mshindi: Mama Shujaa wa Chakula Mtandaoni) ni mkazi wa Kiteto Manyara, namba yake ya ushiriki ni MS 12, na mkulima wa shamba la ukubwa wa ekari 10. 

ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Yeye ni mchapakazi na anachukulia kilimo kama njia ya kumkwamua dhidi ya umasikini. Yeye ni mbunifu na hujifunza kwa haraka. Anavuna mazao gunia 78 kwa mwaka.

MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa