Home » » NAIBU WAZIRI MHE.POSSI KATIKA ZIARA YA KUTEMBELEA SHULE NA VITUO VYA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI MANYARA.

NAIBU WAZIRI MHE.POSSI KATIKA ZIARA YA KUTEMBELEA SHULE NA VITUO VYA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI MANYARA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na wanafunzi na uongozi wa shule ya msingi Katesh “A” na “B” (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara shuleni hapo ili kuona hali ilivyo katika kitengo cha watoto wenye mahitaji maalum, Machi 2, 2016.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na watoto wenye ualbino wanaolelewa na kituo cha 4 Angle Disabled Children kilichopo Wilaya ya Haydom Mkoani Manyara wakati wa ziara yake ya kutembelea vituo, shule na vyuo vya watu wenye ulemavu.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa na Kituo cha kulelea watoto wenye Ualbino cha 4 Angle Disabled Children kilichopo Wilaya ya Haydom Mkoani Manyara wakati wa ziara yake kituoni hapo. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa