Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi unaofanywa Hospitalini hapo.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo ikiwemo Mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya karibu.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Dk. Michael Kadeghe
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya Madaktari wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika Hospitali hiyo ya Hydom
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika hospitali hiyo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa kitengo cha Machi katika Hospitali hiyo ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika Hospitali hiyo ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika Hospitali hiyo ya Hydom.
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akitembezwa katika moja ya wodi za Hospitaali hiyo ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya ya Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza kwa makini risala fupi kutoka kwa msimamizi wa Chuo hicho cha Uuguzi cha Hydom.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kadhaa kwa uongozi wa Hospitaali hiyo ya Hydom muda mfupi baada ya kumaliza kwa kuitembelea.
Wanafunzi wa chuo cha Uuguzi wakifuatilia mkutano huo..
Mmoja wa wafanyakazi wa Hospitali ya Hydom akipata kuuliza swali katika mkutano huo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano huo ambapo aliomba mfanyakazi yeyote kuulizwa swali.
Moja ya muonekano wa jengo la Hospitali hiyo la Hydom
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza ukaguzi huo.. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjibl)
0 comments:
Post a Comment