Home » » NAIBU WAZIRI WA SANAA MICHEZO NA UTAMADUNI AKUTANA NA MWANARIADHA WA ZAMANI

NAIBU WAZIRI WA SANAA MICHEZO NA UTAMADUNI AKUTANA NA MWANARIADHA WA ZAMANI





Mwanariadha wa zamani aliyewahi kushika nafasi ya pili duniani katika mashindao ya         Olimpiki nchini Ugiriki  Bw. John Stephen Akhwari  (wa kwanza kulia) akimuonyesha Naibu Waziri wa Habari Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura (katikati) Mwenge aliyoukimbiza katika viwanjani vya Beijing nchini China wakati wa kufungua mashindano ya Olimpiki mwaka 2008 alipomtembelea nyumbani kwake katika Kijiji cha Khaday, Kata ya Sanu Mjini Mbulu,(wakwanza kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw.Chelestino Mofuga.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa