Home » » NAIBU WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO ATEMBELEA MAJI MOTO MASWARE

NAIBU WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO ATEMBELEA MAJI MOTO MASWARE





Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akinawa na maji ya chemchem ya maji ya moto liliyoko katika  Kijiji cha Masware ,Kata ya Maji ya Moto leo  alipotembelea Kivutio hicho cha Kiasili kinachotumika na wenyeji  kufanyia matambiko katika ziara yake ya kikazi Mkoani Manyara.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa