Home » » TANZIA: MUME WA MBUNGE MARY NAGU AFARIKI DUNIA

TANZIA: MUME WA MBUNGE MARY NAGU AFARIKI DUNIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Dk Mary Nagu.
Profesa Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara, Dk Mary Nagu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Akidhibitisha kifo cha mume wake, Dk Nagu amesema kwamba marehemu alikuwa akipatiwa matibabu Muhimbili kwa zaidi ya mwezi mmoja na jana alifariki dunia saa 12 jioni.

Alisema mume wake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo na moyo kwa muda mrefu.
 
Chanzo Vijimambo Blogu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Manyara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa