Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala bora) Kapteni mstaafu George Mkuchika,
akizungumza juzi mjini Babati, kwenye mkutano wa 20 wa Kamati ya Ushauri
ya Mkoa wa Manyara RCC, katikati ni Mkuu wa Mkoa huo Elaston Mbwilo na
Kaimu Katibu Tawala Missaile Musa.
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza juzi Mjini Babati wakati
wa mkutano wa 20 wa Kamati ya ushauri ya mkoa huo RCC (kulia) ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala bora) Kapteni mstaafu George Mkuchika na
Kaimu Katibu Tawala Missaile Musa.
Mbunge
wa Jimbo la Babati Mjini, Mkoani Manyara, Kisiery Werema Chambiri (CCM)
akizungumza juzi mjini Babati kwenye mkutano wa 20 wa Kamati ya Ushauri
ya mkoa huo (RCC).
0 comments:
Post a Comment