Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akisalimiana
na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Manyara, Noelia Myonga
alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua
shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha
uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiongozwa na
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga (wa
pili kushoto) kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akizungumza na
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga
alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua
shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha
uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga
alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,
Noelia Myonga kuhusu hifadhi hiyo alipoitembelea jana mkoani Arusha kwa
ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la
kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiongozwa na Mhifahdi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga kwenda kuangalia kivutio cha Maji ya Moto ya Asili ndani ya hifadhi hiyo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akigusa maji ya moto ya
asili ambayo ni kivutio cha kipekee cha utalii kilichopo ndani ya
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani
Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Maji hayo yanakadiriwa kuwa na nyuzi joto 80 ambapo imeelezwa kuwa
baadhi ya watalii huweza kuchemsha mayai katika maji hayo. Nyuma yake
anayeshuhudia ni Mhifadhi Mkuu wa hifadhi hiyo, Noelia Myonga.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akionyeshwa
maeneo ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara na Mhifadhi Mkuu wa hifadhi
hiyo, Noelia Myonga alipoitembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa
ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la
kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia)
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa ‘Lodge’ ya AndBeyond Lake
Manyara Tree, Mei Saimon (kulia) kuhusu ‘lodge’ hiyo ambayo ipo ndani ya
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani
Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia)
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa ‘Lodge’ ya AndBeyond Lake
Manyara Tree, Mei Saimon (kulia) kuhusu mazingira ya nje ya ‘lodge’ hiyo
ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea
hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali
za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Waziri, Dk. Kigwangalla akikagua miundombinu ya lodge hiyo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akikagua
mazingira ya Lodge’ ya AndBeyond Lake Manyara Tree ambayo ipo ndani ya
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani
Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini. Kulia
kwake ni Meneja wa hoteli hiyo, Mei Saimon.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua baadhi ya
miundombinu ya kupumzikia wageni katika Lodge’ ya AndBeyond Lake Manyara
Tree ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea
hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli
mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi
endelevu na utalii nchini. Kulia kwake ni Meneja wa hoteli hiyo, Mei
Saimon.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua baadhi ya
miundombinu ya kupumzikia wageni katika Lodge’ hiyo ya AndBeyond Lake
Manyara Tree ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa tatu kulia
waliosimama) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
Nyumba ya Kulala Wageni ya AndBeyond Lake Manyara Tree Lodge ambayo ipo
ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara wakati alipotembelea hifadhi
hiyo jana kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.
Simba katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
Baadhi ya miundombinu ya daraja katika hifadhi hiyo ambayo huwarahisishia watalii kuona wanyamapori mbalimbali.
Pundamilimilia
Ndege na nyati katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
Ndege aina mbalimbali wanapatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
Mtoto wa Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
Baadhi ya Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara. (PICHA NA HAMZA TEMBA - WIZARA YA MALIASILI NA UTALII)
0 comments:
Post a Comment